Pawa

Song

Pawa

Mbosso · Room Number 3 · 2025 · 3:46

Lyrics

(S2kizzy Baby) Kamusi namaliza kurasa kukusifia Matusi naiona Basata wakinifungia Theluthi hizi raha nazopata me I feel mia, ah Mjusi ukuta wa plasta nauparamia Na kama penzi ni chupa la bia Nipe sana niwe mlevi niyumbe yumbe njia Kwa maana we mlezi na unanijulia Hawana hawawezi pakukuibia dear Power, power, naishiwa power Penzi lako mizani mizito naishiwa power (Pawa, pawa naishiwa power) (Penzi lako mizani mizito naishiwa power) Power, power, power, naishiwa power Penzi lako mizani mizito naishiwa power (Power, power, naishiwa power) (Penzi lako mizani mizito naishiwa power) Nilifeli secondary sikwendaga chuo Ila kufeli penzi lako sina hilo chaguo Yeremia mstari ni funue ufunuo, oh Nikupambe kwa matari mwilini iwe nguo Na kama penzi ni chupa la bia Nipe sana niwe mlevi niyumbe yumbe njia Kwa maana we mlezi na unanijulia Hawana hawawezi pakukuibia dear Power, power naishiwa power Penzi lako mizani mizito naishiwa power (Power, power naishiwa power) (Penzi lako mizani mizito naishiwa power) Power, power, power naishiwa power Penzi lako mizani mizito naishiwa power Power, power, naishiwa power Penzi lako mizani mizito naishiwa power (Kamix Lizer)

Lyrics provided by LRCLIB.

Popular by Mbosso