Yule

Song

Yule

Rubby · Yule · 3:52

Lyrics

mapenzi hayana mwenyewe, unaweza penda kijana au mzee, eeh niite jina langu beib, huenda nafsi yangu itapoa, aaah shika moyo wangu beib unavyokwenda mbio, wewe utapoa, aaah aaah, kuna muda namuomba mungu angekuleta mapema, ooooh ila bado siyo mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu, ee beib ila bado siyo mbaya, wewe ndo unayejua maumivu yangu,

Lyrics provided by LRCLIB.

Popular by Rubby