Basi

Song

Basi

Otile Brown · Basi · 2016 · 4:06

Lyrics

Nahisi siko sawasawa kunakitu kinakosa Kumbe leo sijamuona (I wonder if you feel the same way) Basi naugua na siumwi Chakula kooni hakipiti na silali Hata kwa dawa za usingizi (I wonder if you feel the same way) Na macho yangu yanatamani kukuona Nafsi yangu inakukosa sana Na moyo wangu najawa hofu na uwoga Mali yangu wasije wakanipora Na moyoni nakosa Amani sina Fikra zangu zinakwenda mbali kabisa Ama jiji lishaa ninyang'anya we wanguIla niwie radhi kama Nakuhukumu vibaya elewa yote kisa Kisa mama Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali chunga usiniumize Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali usiniache nijifie Maana nakupenda mpaka basi ujue Ujue mama, nakupenda mpaka basi Penzi langu unanihifadhia, Heri ungekuwa sincere Oh Je unaniwazanga, Maana huku nakufikiria Mi nakupenda kipimo sina, Ni bora uwe macho Usije niletea walosaz Kukupenda jukumu langu, sheria kuu Kwenye katiba ya penzi langu Je uko uliko uko vizuri? Mbona simu hushiki? Hivi uko na nani, mnafanya nini? Wasi wasi ninao Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali chunga usiniumize Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali usiniache nijifie Maana nakupenda mpaka basi (Ujue) Ujue mama, nakupenda mpaka basi Waadhi na wasaha ulionipa nazingatiaIla nawe usije jisahau, Ukashawishiwa Na watanashati na washika dau Ukanisahau Sije nisusa utaniacha na mengi Bana nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama Ooh mimi nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama Ukinizuga nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama Ukinitenda mama nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia nitalia mama Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali chunga usiniumize Tunatoka mbali nyuma ukumbuke Tunatoka mbali usiniache nijifie Maana nakupenda mpaka basi ujue ujue ujue Ujue ujue Ujue Ujue mama, nakupenda mpaka basi

Lyrics provided by LRCLIB.

Popular by Otile Brown