LELE

Song

LELE

YBW Smith · LELE REMIX · 2023 · 3:04

Lyrics

Cheki denge alinipigia tenje Akisema ye ni lele anakatia madenge What a shame beshte yake alikuwa njege Aliwekewa matembe akiwa na malele Cheki denge alinipigia tenje Akisema ye ni lele anakatia madenge What a shame beshte yake alikuwa njege Aliwekewa matembe akiwa na malele Nacheki nikileft right manguna wamejibeba Aluta hadi kesho naweza kosa kuteka Usiworry na bill we itisha utapewa Aliingia mechi ngware ati best ni mapema Nimepiga luku diriba nacheki niko fiti Na kwa pori nikidigi mangwai kama fifty Alisema anakaa poa na mi sina hadi kiti Mbogi ni ya magwash, mbogi ni ya magwiji Cheki denge alinipigia tenje Akisema ye ni lele anakatia madenge What a shame beshte yake alikuwa njege Aliwekewa matembe akiwa na malele Cheki denge alinipigia tenje Akisema ye ni lele anakatia madenge What a shame beshte yake alikuwa njege Aliwekewa matembe akiwa na malele Kila siku niko madoh Nikipiga show ya kwanza nakula kapa soo Nikipiga show ya pili nakula kapa mia mbili Show ya tatu nalipwa na mamili Kati yetu hakuna rapper ananiweza Hata ukuje na mwakenya Collabo mi sitaki mi natoa doba genje Na kama hujakubali buda we jua ni kende Nilikushow real hata huwezi songa mbele No wonder hizo lyrics hazinanga hata meaning Rudi daro brush tuff ndo unitishe Lyrics, barz ikue na masters Bro niko hunting na mafia Utatiki niite gwiji Tunacheza na matiti kila wiki Huwezi feel fiti ju ngeus ako busy Kwela juu ya maji alirukwa mara fifty Na riba kama sio ya maganji mi sitaki Sidai ku-impress mi nataka for the best Leo tuko gwethe ka daila ni mawembe Kenya haiendi mbele malele na mabeste Tangu Marish, Jeri hadi Salem Sura mpya ghetto unabaki kuwa target Mistari kali ya madead nikuhande Utakula kibare ukidhani ni afande Nipate Buruburu nikizoza na magaldem Lazima nipate ganji ndio mamake apate Lakini kuzidisha nilibaki kuwa wanted Niko blacklist na mabanga huni-target Cheki denge alinipigia tenje Akisema ye ni lele anakatia madenge What a shame beshte yake alikuwa njege Aliwekewa matembe akiwa na malele Cheki denge alinipigia tenje Akisema ye ni lele anakatia madenge What a shame beshte yake alikuwa njege Aliwekewa matembe akiwa na malele

Lyrics provided by LRCLIB.

Popular by YBW Smith