Chibaba

Song

Chibaba

Alikiba · Starter · 2024 · 2:57

Lyrics

Yeah! O. Righty Ah, ah Ah, ah Ah, ah Eh, mama Yeah, mama Mwenye sura ya makokoto Kumpata ni protocol Kamejawa na madeko Ah, kana madeko Ah, kwa kuringa kanaringa Kana mambo ya kitoto, toto Mwezenu mi' ndio napenda Ugonjwa wangu mi' napenda Kakicheka mi' nalia Jama kananivutia Mali yangu ikijaliwa Mi' nitachanganyikiwa Kakicheka mi' nalia Mi' nalia kananivutia Mali yangu ikijaliwa Mi' nitachanganyikiwa (Ah, oh, nana, nana) Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu (Ah, oh, nana, nana) Mali yake, roho safi, oh-oh (Ah, oh, nana, nana) Safi, oh Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu (Ah, oh, nana, nana) Mali yake, roho safi, oh-oh Roho safi, oh (Chibaba) (Chibaba) Mm-mm, mm Akaanza niita chibaba, chibaba, oh, chibaba Nami namwita chimama, chimama wa mboga saba Wa moto, oh Shape, jicho, mpaka shingo Yaani dah mashallah Sitaki tena kuwa single, oh-oh Kakicheka mi' nalia Jama kananivutia Mali yangu ikijaliwa Mi' nitachanganyikiwa Kakicheka mi' nalia Mi' nalia kananivutia Mali yangu ikijaliwa Mi' nitachanganyikiwa (Ah, oh, nana, nana) Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu (Ah, oh, nana, nana) Mali yake, roho safi, oh-oh (Ah, oh, nana, nana) Safi, oh Bi mzuri huyu, nampenda huyu, huyu (Ah, oh, nana, nana) Mali yake, roho safi, oh-oh Roho safi, oh Yup! (Ah!) (Chibaba) Chibaba

Lyrics provided by LRCLIB.

Popular by Alikiba